Episode Details
Back to EpisodesKenya : Wanaharakati wanashikiza kuachiliwa kwa Kizza Besigye
Published 2 weeks, 1 day ago
Description
Wanaharakati nchini Kenya, wamekuwa wakishinikiza kuachiliwa kwa kiongozi wa upinzani nchini Uganda Kizza Besigye, ambaye kesi ya uhaini dhidi yake bado inaendelea.
Skiza makala haya kufahamu mengi.