Episode Details
Back to EpisodesKenya : Wastaafu wahangaika kupata kiinua mgongo
Published 3 weeks, 3 days ago
Description
Kustaafu inafaa kuwa maisha mapya na mema ila wengi hukumbana na wasiotarajia, ikiwa ni pamoja na kubiri kwa muda mrefu kupata hela zao za uzeeni
Nchini Kenya, wengi hupata changamoto ya kufuatilia hela zao kutoka shirika la malipo ya uzeeni la NSSF, hili likichukuwa hata miaka miwili, baadhi ya wazee wakifariki kabla ya kunufaika na mgao huo.
Skiza makala haya kufahamu zaidi.