Episode Details
Back to Episodes
#DZK082; Kama Hujapata Mafanikio Unayotaka, Umekwama Kwenye Moja Ya Maeneo Haya Matano
Published 2 months, 2 weeks ago
Description
#BZK082; Kama Hujapata Mafanikio Unayotaka, Umekwama Kwenye Moja Ya Maeneo Haya Matano
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/994/
Rafiki yangu mpendwa,
Mara zote tunakazana sana na kile tunachotaka, ambayo ndiyo mafanikio tunayopambania. Na licha ya kupambana sana, bado hatupati matokeo tunayokuwa tunatarajia kupata. Hapo ndipo wengi wanaposhindwa kuelewa, kwa sababu wanajiona wakiwa wamefanya yale wanayopaswa kufanya, ila matokeo siyo waliyotarajia kupata.
Kabla ya kuendelea kuhangaika na yale unayofanya, ni lazima kwanza uangalie wapi ambapo unajikwamisha. Kwa sababu, kama unafanya kila unachopaswa kufanya, lakini matokeo hayaji kama ulivyotarajia, kuna mahali unakuwa unajikwamisha wewe mwenyewe.
Kwenye barua hii tunaenda kuangalia maeneo matano ambayo ndiyo yamekuwa yanawakwamisha watu wengi wasipate mafanikio makubwa wanayoyataka. Yasome kwa kina na kisha jitafakari wewe mwenyewe ili uweze kuona ni wapi ambapo umekwama. Ukishajua ulipokwama, unajikwamua na matokeo yanabadilika.
Endelea kusoma barua hii hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/994/
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.