Episode Details
Back to Episodes
#DZK081; Una Huu Wajibu Mkuu Mmoja Kwenye Maisha, Utimize Kwa Ukamilifu
Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Timiza Huu Wajibu Uwe Na Maisha Bora.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/992/
Rafiki,
Kuna wajibu mmoja mkubwa ambao upo nao kwenye maisha.
Kushindwa kutimiza wajibu huo ndiyo kumekukwamisha kuwa na maisha bora.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekueleza kwa kina wajibu huo.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/992/
Timiza wajibu mkubwa ulionao ili uwe na maisha yenye maana.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.