Episode Details

Back to Episodes
#DZK080; Wasaidie Watu Kwa Kuwa Na Roho Mbaya

#DZK080; Wasaidie Watu Kwa Kuwa Na Roho Mbaya

Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Kama Unataka Kuwasaidia Watu, Kuwa Na Roho Mbaya.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/990/

Rafiki,
Kuna usemi kwamba *Huruma Siyo Malezi.*

Unapokuwa kwenye nafasi ya kulea au kuongoza,
Kuwaonea watu huruma haina msaada kwa yeyote.

Kama kweli unataka kuwasaidia watu, lazima uwe na roho mbaya.

Na roho mbaya hiyo haihusishi kuwafanyia watu mabaya,
Bali kufanya yale yaliyo sahihi.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha hayo sahihi kufanya ili kuwasaidia wengine.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter-content/4/990/

Huwezi kuwasaidia watu kwa kuwaonea huruma.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us