Episode Details
Back to Episodes
#DZK079; Ilani Ya Maisha Ya Mafanikio
Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Ilani Ya Maisha Ya Mafanikio.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Hakuna chama cha siasa kinachoenda kwenye uchaguzi bila kuwa na ilani.
Na ilani bora ndiyo inayoleta ushindi,
Na kuwa mwongozo wa utekelezaji.
Wewe unataka ushindi kwenye maisha yako,
Lakini je, ilani yako iko wapi?
Umekuwa unakwama kwa sababu unaendesha maisha yako kwa mazoea na kufuata mkumbo.
Utapata ushindi mkubwa pale utakapokuwa na ilani sahihi na kuifanyia kazi.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mwongozo wa kutengeneza ilani sahihi ya maisha yako.
Hii ni hatua muhimu sana kwako ili kupata ushindi.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Usiendelee kuyaishi maisha yako bila kuwa na ilani itakayokupa ushindi.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.