Episode Details

Back to Episodes
#DZK078; Jinsi Ya Kuondoa Usumbufu Unaokukwamisha Kufanya Makubwa

#DZK078; Jinsi Ya Kuondoa Usumbufu Unaokukwamisha Kufanya Makubwa

Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Njia ya Kukomesha Usumbufu Unaokuzuia Kufanikiwa.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Unajua kabisa unachotaka,
Na unajua cha kufanya ili kupata unachotaka.

Lakini inapofika wakati wa kufanya, unaahirisha.
Na hata ukianza kufanya, huendelei, bali unaishia njiani.

Hilo linasababishwa na usumbufu usiokuwa na tija.
Na usipokuwa na njia nzuri ya kukabiliana na usumbufu huo, utajikwamisha kufanikiwa.

Kwenye #BaruaYaKocha, nimekushirikisha njia moja yenye nguvu sana kwenye kuondokana na usumbufu huo.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Usiendelee kujikwamisha kuchukua hatua za mafanikio.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us