Episode Details

Back to Episodes
#DZK077; Suluhisho La Sehemu Kubwa Ya Matatizo Yako, Taka Ulichonacho

#DZK077; Suluhisho La Sehemu Kubwa Ya Matatizo Yako, Taka Ulichonacho

Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Suluhisho La Matatizo Yako.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Umekuwa unajiambia ukipata vitu fulani,
Maisha yako yatakuwa bora.

Unakazana na unapata vitu hivyo,
Lakini bado unaona maisha hayajawa bora.

Sababu kubwa ni moja,
Kila mara huwa unataka usichokuwa nacho.
Na ukishakipata, unataka kingine usichokuwa nacho.

Lipo suluhisho rahisi la sehemu kubwa ya matatizo yako,
Ambalo ni KUTAKA HICHO ULICHONACHO.

Kwenye #BaruaYaKocha nimelieleza vizuri suluhisho hilo.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Usiendelee kujimwamisha kwa kutaka vitu ambavyo huna. Furahia ulivyonavyo.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us