Episode Details
Back to Episodes
#DZK076; Kama Hupati Mafanikio, Mlaumu Mtu Huyu Anayekukwamisha
Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Siwezi Kukuvumilia Kwenye Hili.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nakazana kukupa wewe *MAARIFA* ambayo ni bora sana kwako kufanikiwa.
Wajibu wako umekuwa ni kuyaweka kwenye *VITENDO* ili uweze kupata *MAFANIKIO* makubwa.
Ninapokuona unalalamika hufanikiwi, wakati huchukui hatua, siwezi kukuvumilia.
Kwenye #BaruaYaKocha, nimekupa hotuba yangu kali sana na nimekueleza wazi kwamba *'NITAKUUA'* kama hutatekeleza mchakato sahihi.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Kama hutasoma barua hii, *'NITAKUUA'* hivyo chukua hatua ya kuisoma sasa.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.