Episode Details
Back to Episodes
#DZK075; Mkakati Huu Wa Rockefeller Utakupa Matokeo Makubwa Kwenye Jambo Lolote Unalofanya.
Published 2 months, 4 weeks ago
Description
Rockefeller Na Mkakati Uliompa Matokeo Makubwa.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Hakuna mtu anayepata mafanikio kwa kubahatisha.
Kila unayemwona amepiga hatua kubwa, kuna vitu vya tofauti amefanya.
Na uzuri, vitu hivyo huwa wazi na vinavyowezekana kwa wengine.
John D. Rockefeller, aliyekuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa enzi zake,
Alikuwa na mkakati rahisi na uhakika wa kumpa matokeo mazuri.
Aliutumia kupata ajira yake ya kwanza,
Akautumia tena kupata mkopo wa kwanza,
Na akautumia kupata wateja wa mwanzo kwenye biashara.
Ni mkakati rahisi sana na wenye matokeo ya uhakika ambao hata wewe unaweza kuufanyia kazi.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekupa mkakati huo na jinsi ya kuufanyia kazi ili ufanikiwe.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Unachokosa ni mkakati sahihi, kuwa nao upate matokeo makubwa.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.