Episode Details
Back to Episodes
#DZK074; Hivi Ndivyo Kudhania Kunavyokukwamisha Wewe Kupata Mafanikio Makubwa.
Published 2 months, 4 weeks ago
Description
Kudhania Kunakukwamisha Kufanikiwa.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Ni mara ngapi umekuwa unajua unachotaka,
Ukajua kabisa unachopaswa kufanya ili kukipata,
Na bado hufanyi?
Kinachokukwamisha?
Kudhania.
Kuna mambo hufanyi, kwa kudhania matokeo yatakuja tu.
Unaamini wengine kwa kudhania wapo sahihi.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi kudhania kumekukwamisha kupata mafanikio makubwa.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Usidhanie chochote, thibitisha mwenyewe na fanya kila kitu ili kupata matokeo.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.