Episode Details

Back to Episodes
#DZK073; Hili Ndilo Sharti Pekee La Kupata Mafanikio Makubwa

#DZK073; Hili Ndilo Sharti Pekee La Kupata Mafanikio Makubwa

Published 2 months, 4 weeks ago
Description
Usikiuke Hili Starti La Mafanikio.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Kila kitu kwenye maisha kina masharti yake.

Mafanikio yana sharti moja kuu,
Ambalo wanaofanikiwa wanalitimiza,
Na wanaoshindwa wanalikiuka.

Sharti la kwanza ni kujua sharti kuu la mafanikio,
Na sharti la pili ni kutovunja sharti hilo.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha sharti hilo kwa umakini mkubwa, ili usilivunje na kujikwamisha kufanikiwa.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Bila kuzingatia masharti, mafanikio yatakuwa magumu sana kwako.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us