Episode Details
Back to Episodes
#DZK072; Msimamo Wa Kijinga Na Kuokoa Hasara Kunavyokupoteza Kimafanikio.
Published 3 months ago
Description
Kuokoa Hasara Kunakupa Hasara Zaidi.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Unapokuwa kwenye safari na kugundua uelekeo siyo sahihi,
Unapaswa kubadili uelekeo huo mara moja.
Kubaki kwenye uelekeo huo kwa sababu umeshapoteza muda au kutumia gharama haisaidii.
Unapobaki kwenye kitu kisicho sahihi ili kuokoa muda na gharama, unaishia kutumia muda na gharama zaidi.
Na vyote hivyo vinazidi kupoteza muda na gharama.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kukubali hasara na kubadilika ili upate kile hasa unachotaka.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Unapogundua umekosea, usibaki kwenye makosa kwa sababu ya muda au gharama.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.