Episode Details

Back to Episodes
#DZK071; Tatizo Likikushinda Lipelekee Huu Moto, Litasalimu Amri Lenyewe.

#DZK071; Tatizo Likikushinda Lipelekee Huu Moto, Litasalimu Amri Lenyewe.

Published 3 months ago
Description
Hakuna Tatizo Linaloweza Kushinda Hii Nguvu.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Kama unapokutana na tatizo unalifanyia kazi kadiri ya uwezo wako,
Kamwe hutaweza kutatua matatizo na kupata mafanikio.

Matatizo yanatakiwa kupelekewa moto mkubwa sana ambao hayawezi kuyastahili.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha nguvu unazopaswa kuweka kwenye kutatua tatizo lolote kiasi kwamba hakuna kinachoweza kukuzuia.

Soma Barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Usitatue matatizo kadiri ya uwezo wako, bali yapelekee moto ambao hayawezi kuhimili.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us