Episode Details
Back to Episodes
#DZK069; Propaganda Binafsi Zitakazokupa Mafanikio Makubwa.
Published 3 months ago
Description
Bila Hizi Propaganda Hutoboi.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Kuna propaganda nyingi ambazo zimelengwa kwako ili kukuzuia kufanikiwa.
Kwa sababu jamii inataka wewe uwe na maisha ya kawaida, ili iweze kukutawala.
Inajua ukiwa na mafanikio makubwa sana, utakuwa huru na usiyetawalika.
Kushinda propaganda hizo za jamii, unahitaji propaganda zitakazokupa mafanikio kwa uhakika.
*Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha propaganda tano zitakazokupa mafanikio makubwa.*
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Dawa ya moto ni moto, kuondoa propaganda zinazokuzuia kufanikiwa, kuwa na propaganda za mafanikio.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.