Episode Details
Back to Episodes
#DZK068; Mafanikio Ni Siku Moja Tu, Leo.
Published 3 months ago
Description
Mafanikio Yako Makubwa Ni Leo.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Unajikwamisha kufanikiwa kwa sababu unasubiri siku moja ndiyo upate mafanikio.
Ukweli ni kwamba mafanikio hayaji siku moja,
Bali ni mkusanyiko wa siku nyingi ambazo umeziishi kimafanikio.
Na unajikwamisha sana kufanikiwa kwa kuahirisha kuishi siku zako kikamilifu.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi ya kuiishi siku yako moja kimafanikio, kisha kuirudia kila siku ili kuwa na maisha ya mafanikio.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Usisubiri siku moja ndiyo ufanikiwe, ishi kila siku kwa mafanikio.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.