Episode Details

Back to Episodes
#DZK067; Vipi Kama Ungeongeza Jitihada Zaidi?

#DZK067; Vipi Kama Ungeongeza Jitihada Zaidi?

Published 3 months ago
Description
Unachohitaji Ni Juhudi Za Ziada Kidogo Tu.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Ulipokuwa shule kuna utoto ulijifunza na unauendeleza kwenye maisha.

Ulijifanya husomi sana, ila unafaulu kawaida.

Umekuja kwenye kazi, unajifanya hufanyi kazi sana, ila maisha yanaenda.

Kwenye biashara, unajifanya huweki kazi sana, ila inaenda.

Hayo matokeo yote unayopata ni ya chini sana, ambapo ungeweza kupata zaidi kama ungeongeza juhudi kidogo tu.

*Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha jinsi mafanikio ni rahisi ukiweka juhudi za ziada kidogo tu.*

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Usijikwamishe kufanikiwa kwa kuweka nusu juhidi. Weka juhudi kamili ili upate mafanikio makubwa.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us