Episode Details
Back to Episodes
#DZK066; Mwamba Wa Kazi Huyu Hapa, Tumpe Maua Yake Na Kujifunza Kutoka Kwake
Published 3 months, 1 week ago
Description
Kama Unadhani Unafanya Kazi Sana, Jitafakari Upya.
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Unaweza kujiona mchapakazi sana,
Kwamba unaweka juhudi kubwa kwenye kazi kuliko wengine.
Vipi nikikuonyesha mtu aliyekuwa anafanya kazi masaa 16 mpaka 18 kwa siku, kila siku?
Na kwa kila saa ya kazi, aliiweka kwenye kazi tu na siyo kitu kingine chochote.
Zaidi, matokeo makubwa yalionekana kupitia uchapakazi wake.
Hiyo ikiwa ni zaidi ya miaka 200 iliyopita.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha Mwamba aliyeweka kazi kwa juhudi kubwa mno, ambaye tunapaswa kujifunza kwake.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Weka kazi sana, ndiyo kitu pekee kinachoweza kukupa mafanikio makubwa.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.