Episode Details
Back to Episodes
#DZK065; Ushauri Mwingi Unakupoteza Kuliko Kukusaidia, Kuwa Makini
Published 3 months, 1 week ago
Description
Huhitaji Ushauri
Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Rafiki,
Ushauri ni kitu kinachotolewa kirahisi sana,
Tena bure kabisa.
Na unaweza kuona ushauri mwingi unaopewa ni mzuri.
Lakini kiuhalisia, ushauri mwingi unaopewa ni hatari sana kwako.
Hata ushauri ambao wewe unawapa watu wengine,
Unawaumiza kuliko unavyowasaidia.
Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha kwa nini ushauri mwingi ni hatari na jinsi ya kujiepusha nao.
Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Kuwa makini sana na ushauri unaotoa au kupokea, unaweza kuwa majanga.
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.
Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.
Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.
Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
Karibu ujifunze.

- MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
- FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
- BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu ujifunze.