Episode Details

Back to Episodes

Changamoto za wasichana wanaopata ujauzito wakiwa shuleni

Published 2 months, 2 weeks ago
Description

Utafiti wa punde zaidi uliofanywa na Kituo cha Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya barani Afrika (APHRC) unaonyesha kuwa, Kusini mwa Jangwa la Sahara, msichana mmoja kati ya wanne anapata ujauzito kabla ya kufikisha miaka 18.

Ingawa sheria na sera katika nchi mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki zinatambua haki ya wasichana hao kuendelea na masomo hata baada ya kujifungua, wengi bado hukumbana na vikwazo vinavyowafanya washindwe kurudi darasani.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us