Episode Details

Back to Episodes
#DZK054; Uvumilivu Usio Na Subira Unaohitajika Kwenye Mafanikio Makubwa

#DZK054; Uvumilivu Usio Na Subira Unaohitajika Kwenye Mafanikio Makubwa

Published 3 months, 3 weeks ago
Description
Mafanikio Yanataka Uwe Na *'Uvumilivu Usio Na Subira.'

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Bill Gates amewahi kusema; *'Tunakadiria kwa ukubwa tunachoweza kufanya ndani ya mwaka mmoja na kukadiria kwa udogo tunachoweza kufanya ndani ya miaka 10.'*

Hiyo ni kauli yenye nguvu sana na inayoonyesha kwa nini watu wengi wanashindwa.

Unakuwa mtu usiye na uvumilivu, kwa kutaka mambo makubwa yatokee haraka.

Lakini sasa, huchukui hatua kwa haraka ili mambo hayo yatokee.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekueleza dhana ya *Uvumilivu Usio Na Subira*, ambayo inahitajika sana kwenye safari ya mafanikio.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Kuwa na uvumilivu kwenye matokeo, lakini usiwe na subira kwenye kuchukua hatua.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us