Episode Details
Back to EpisodesSafari ya akina mama wachanga kutafuta uraia wao na watoto wao mipakani Kenya
Published 2 months, 2 weeks ago
Description
Nchini Kenya changamoto za kupata stakabadhi muhimu kama vile vitambulisho na vyeti vya kuzaliwa zingali zinashuhudiwa miongoni wa raia wake hususan kwenye jamii ambazo zinaishi kaunti za miapakani kama vile Busia ,Turkana na Mandera, hali inayoendelea kuwanyika raia hao haki zao za kimsingi na kukosa huduma muhimu za serikali . Hii leo katika makala Jua haki zako tunaangazia akina mama hao na watoto wao jimbo la Busia kwenye mpaka wa Kenya na Uganda