Episode Details

Back to Episodes
#DZK053; Mshinde Adui Huyu Anayekuhujumu Usifanikiwe.

#DZK053; Mshinde Adui Huyu Anayekuhujumu Usifanikiwe.

Published 3 months, 3 weeks ago
Description
Mshinde Adui Huyu Mmoja Na Mafanikio Yanakuwa Uhakika Kwako.

Soma hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Rafiki,
Kila tamthilia huwa inakuwa na adui mkuu mmoja ambaye anakuwa vigumu sana kushindwa.

Mhusika mkuu ni lazima apambane sana ndiyo aweze kumshinda adui huyo.

Hivyo pia ndivyo maisha na mafanikio yako yalivyo.
Kuna adui mkuu mmoja ambaye anakukwamisha sana.

Usipomjua na kumshinda adui huyo, utahangaika sana ila utaishia kushindwa.

Kwa bahati mbaya sana, adui yako amekaa kimkakati sana.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekuonyesha adui huyo na jinsi ya kumshinda.

Isome barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Adui anayekukwamisha yuko karibu kuliko unavyodhani.
Ukishindwa kumzuia, umejizuia mwenyewe kufanikiwa.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.

Karibu kwenye mafunzo ya Kocha Dr. Makirita Amani, MD, CFE.

Mafunzo haya yamejengwa kwa kanuni ya MAARIFA + VITENDO = MAFANIKIO.

Hapa unapata MAARIFA sahihi, ambayo ukiyaweka kwenye VITENDO utapata MAFANIKIO kwa uhakika.

Maarifa haya yamejikita kwenye maeneo makuu matatu;
  1. MAFANIKIO; Kujenga Tabia na Nidhamu sahihi kwa mafanikio.
  2. FEDHA; Kujenga Utajiri na Uhuru wa Kifedha.
  3. BIASHARA; Kujenga Biashara inayojiendesha bila kukutegemea.
Karibu upate MAARIFA haya kwa kina kwa njia hizi;
  1. #BaruaZaKocha; https://learn.tanzaniteskills.ac.tz/#/view/newsletter/4/13/
  2. #OngeaNaKocha; https://www.youtube.com/@onkocha
  3. #AmkaNaKocha; https://amkamtanzania.com/
Karibu ujifunze.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us