Episode Details

Back to Episodes
Mungu Hukuongoza Mahali pa Baraka

Mungu Hukuongoza Mahali pa Baraka

Season 2 Episode 7 Published 3Β months, 1Β week ago
Description

πŸŽ™οΈ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunaendelea na simulizi ya Ruthu kupitia Ruthu 2:8–9. Boazi hakumpa Ruthu chakula pekee, bali alimwelekeza mahali pa kubaki, akamhakikishia ulinzi na kumfungulia mlango wa neema na kibali. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba Mungu hutuongoza si tu kwenye baraka zake bali pia mahali ambapo baraka hizo zinapatikana. Je, tunatafuta uongozi wa Mungu katika maamuzi yetu, au tunakimbilia kila fursa inayoonekana kuwa nzuri?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. πŸ™πŸ“–βœ¨

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us