Episode Details
Back to EpisodesKenya: Mawakili waandamana kudai haki
Published 3 months ago
Description
Nchini Kenya, mawakili wameandamana kudai haki kufuatia vifo vya wenzao wawili ambao wameuawa katika mazingira tata.
Kwenye makala haya tunaangazia malalamishi ya mawakili hao. Sikiliza makala kufahamu mengi.