Episode Details

Back to Episodes
Je, Tumaini Lako Limejengwa Juu ya Nini?

Je, Tumaini Lako Limejengwa Juu ya Nini?

Season 1 Episode 17 Published 3ย months, 2ย weeks ago
Description

๐ŸŽ™๏ธ Leo kwenye Neno la Leo

Leo tunahitimisha simulizi ya Mika kupitia Waamuzi 18:23โ€“24 na 18:30โ€“31. Baada ya sanamu za Mika kuondolewa, aligundua kwamba tumaini lake lilikuwa limejengwa juu ya vitu alivyovitengeneza mwenyewe. Kabila la Dani nalo likaendelea na mfumo wake wa ibada, licha ya Mungu kuwa tayari ameonyesha jinsi anavyotaka kuabudiwa. Kupitia simulizi hii tunajifunza kwamba ibada ya kweli hujengwa juu ya Neno la Mungu, na kwamba kile tunachokitegemea zaidi ndicho kinachoweza kuwa โ€œmunguโ€ wetu. Je, tumaini letu limejengwa juu ya Mungu wa kweli, au juu ya vitu vinavyoweza kupotea?

Karibu tusikilize, tutafakari na kujifunza pamoja. ๐Ÿ™๐Ÿ“–โœจ

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us