Episode Details

Back to Episodes
Makala Leo: Makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yatetea sera zao mbele ya Tume ya Kifalme

Makala Leo: Makampuni makubwa ya mtandao wakijamii yatetea sera zao mbele ya Tume ya Kifalme

Published 3 days, 15 hours ago
Description
Kampuni kubwa ya mtandao ya kijamii, Meta, ilifika mbele ya Tume ya Kifalme kuhusu Unyanyasaji wa Wayahudi na Uwiano wa Kijamii jana Julai 6, ikitetea rekodi yake ya kukomesha matumizi mabaya mtandaoni.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us