Episode Details
Back to Episodes
Yaliyojiri Afrika: Raia wakigeni waondolewa Afrika Kusini
Published 3 weeks ago
Description
Afrika Kusini imewarejesha makwao raia wa kigeni 2,745, ndani ya wiki moja baada ya rais wa taifa hilo ku ahidi kuchukua hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu.