Episode Details
Back to Episodes
How do charities and individual fundraisers work in Australia? - Australia Yafafanuliwa:Je, mashirika ya kutoa misaada na watu wanao changisha hela hufanyaje kazi nchini Australia?
Published 3 weeks, 3 days ago
Description
What are the rules around raising money and charities? How can you ensure you don't get scammed? Here is what you need to know if you're donating, raising money yourself or launching an online crowdfunding appeal. - Je, ni sheria gani zinazo husu kuchangisha pesa na mashirika ya kutoa misaada? Unawezaje hakikisha kuwa hutadanganywa? Haya ndiyo unastahili jua kama una toa mchango, unachangisha pesa mwenyewe au una zindua ombi la mchango mtandaoni.