Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari: Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yazua wasiwasi katika makundi ya biashara
Published 3 weeks, 3 days ago
Description
Mabadiliko katika kodi ya faida ya mtaji yatapunguza uzalishaji na kuifanya Australia isiwe na ushindani mkubwa, makundi ya biashara yanasema, huku hatua za bajeti zenye utata zikichunguzwa kwa darubini. Uchunguzi wa Seneti kuhusu mabadiliko ya kodi unafanya vikao vyake vya kwanza leo.