Episode Details
Back to Episodes
Faith"niliona nikama dunia ime isha na, nilihisi kwamba nimejipoteza pia mimi mwenyewe"
Published 1 month, 1 week ago
Description
Sheila Chebii alikuwa nchini Australia chini ya miezi mbili, alipo aga dunia katika mazingira yakutatanisha.