Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari: Kasi yaongezwa kuajiri wauguzi waku kabiliana na mlipuko wa Diphtheria
Published 1 month, 2 weeks ago
Description
Mipango inafanywa kupeleka wauguzi zaidi katika Wilaya ya Kaskazini kujibu mlipuko mbaya zaidi wa diphtheria nchini kwa zaidi ya miaka 30.
Kesi 230 za maambukizo zimeripotiwa mwaka huu, kesi nyingi zikiwa katika Wilaya ya Kaskazini, lakini pia katika majimbo ya Magharibi Australia, Kusini Australia na Queensland.
Nchini Uganda, zaidi ya watu 100 wamewekwa karantini, baada ya kushukiwa kuambukizwa virusi vya Ebola, wakati huu serikali ikiweka mikakati ya kuzuia kusambaa kwa virusi hivyo, baada ya watu wawili kuthibitishwa kuambukizwa jijini Kampala.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.