Episode Details

Back to Episodes
Anne "kina mama wanawezaje sawazisha kuhudumia naku imarisha mali ya familia zao"

Anne "kina mama wanawezaje sawazisha kuhudumia naku imarisha mali ya familia zao"

Published 1 month, 2 weeks ago
Description
Kuto simamia mali vizuri, kunaweza weka mahusiano na familia nyingi katika hali mbaya.

Anne Mureithi hutoa mafunzo kwa familia na jinsi yaku kuza mali zao.

Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bi Anne alichangia mbinu ambazo familia zinaweza tumia kuimarisha familia na mali zao.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.
Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us