Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari: Chama cha Liberal hakifai fuata mwongozo wa chama cha One Nation Andrew McLachlan asema
Published 1 month, 3 weeks ago
Description
Mbunge wa chama cha Liberal Andrew McLachlan anasema Upinzani wa Mseto haufai kutafuta mwongozo kutoka kwa chama cha One Nation kuhusu maendeleo ya sera zao, huku akiendelea kupinga pendekezo la Angus Taylor la kupunguza malipo ya ustawi wa jamii kwa watu ambao si raia.