Episode Details
Back to Episodes
Taarifa ya Habari: Kenya na Ufaransa zapiga hatua katika mkataba wa ulinzi
Published 2 months, 3 weeks ago
Description
Serikali ya Australia inasema haifikirii kutuma meli katika Mlango-Bahari wa Hormuz, baada ya Rais Donald Trump kusema mataifa mengine yatahusika katika kizuizi cha Marekani kwenye njia hiyo ya maji.