Episode Details
Back to Episodes
Australia Yafafanuliwa: Kazi mpya, mwanzo mpya: jinsi ya kubadilisha kazi nchini Australia
Published 2 months, 4 weeks ago
Description
Ni kawaida kufikiria upya maisha yako ya kazi. Baadhi wanatafuta fursa mpya. Wengine wanataka kazi inayolingana vyema na ujuzi wao, maadili, au hali zao.