Episode Details

Back to Episodes

Kenya : Haki za wafanyibiashara wa soko la Kigomba

Published 6 months, 2 weeks ago
Description

Katika makala haya tunaangazia haki za wafanyibiashara katika soko la Gikomba nchini Kenya.

Kwa muda wafanyibiashara hao wamekuwa wakizozana na serikali kuhusu kipande cha ardhi cha soko hiyo.

Skiza makala haya kufamu mengi zaidi.

Listen Now

Love PodBriefly?

If you like Podbriefly.com, please consider donating to support the ongoing development.

Support Us