Episode Details
Back to Episodes
Yaliyojiri Afrika: Kenya na Uganda za zindua upanuzi wa ujenzi wa reli
Published 3 months, 2 weeks ago
Description
Marais wa Kenya na Uganda walikutana mjini Kisumu, kuzindua ujenzi uliocheleweshwa wa upanuzi wa reli yenye thamani ya mabilioni ya dola iliyojengwa na China.