Episode Details
Back to Episodes
Makala leo:Utafiti umebaini ongezeko la upekuzi usio na kibali katika jamii zenye tamaduni mbalimbali
Published 5 months ago
Description
Utafiti mpya unaonyesha kuwa jamii zilizo na mchanganyiko wa rangi tofauti zinafanyiwa upekuzi bila kibali mara tatu na nusu zaidi kuliko jamii katika maeneo yenye watu wengi weupe. Kulingana na uchambuzi wa matumizi ya nguvu za upekuzi zisizo za kawaida na Polisi wa Victoria, hali hii inaonekana hata pale ambapo maeneo ya jamii zenye watu wengi weupe yana viwango vya juu vya uhalifu.