Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 30 Juni 2025
Published 1 year ago
Description
Anthony Albanese amesema Australia haita ongeza matumizi yake ya ulinzi mwezi wa Aprili ijayo kama sehemu ya mkakati wa ulinzi wa taifa, baada ya wito kutoka Marekani kupiga jeki bajeti ya Ulinzi.