Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 27 Juni 2025
Published 1 year ago
Description
Waziri Mkuu wa Anthony Albanese ametetea msimamo wa serikali kwa matumizi ya ulinzi, nakutupilia mbali wito kutoka utawala wa Trump kuongeza matumizi hadi asilimia 3.5 ya pato la taifa.