Episode Details
Back to EpisodesAmy alidhani amepata kazi kama mwanafunzi wa kimataifa- alikuwa amekosea
Published 1 year ago
Description
Tangu 2024, serikali ya shirikisho imezindua sera kadhaa zaku zuia idadi ya wanafunzi wakimataifa, pamoja naku ongeza ada ya maombi ya viza ya wanafunzi na, kupunguza kasi muda wa usindikaji wa viza.