Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 27 Mei 2025
Published 1 year, 1 month ago
Description
Idadi ya nyumba zilizo haribika kabisa katika mafuriko jimboni New South Wales imeongezeka mara mbili nakufika takriban 800. Huduma ya dharura ya jimbo [[SES]] imesema nyumba 794 katika kanda ya pwani ya kati ya kaskazini, zime zingatiwa kuwa haziwezi tumiwa tena baada ya zaidi ya tathmini 5000 za uharibifu kufanywa.