Episode Details
Back to EpisodesUNHCR yaomba msaada kwa wakimbizi wa Sudan Kusini walio DRC
Published 1 year, 1 month ago
Description
Ukosefu wa vyakula na bidhaa zingine muhimu, umelazimisha UNHCR kuomba msaada wa dharura kwa wakimbizi wenye asili ya Sudan Kusini, walio kimbilia DRC.