Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 20 Mei 2025
Published 1 year, 1 month ago
Description
Jimbo la Victoria lina tarajia kupata ziada yake ya kwanza tangu janga la UVIKO-19, wakati serikali ya Allan itakapo toa bajeti ya jimbo hii leo Jumanne 20 Mei 2025.