Episode Details
Back to EpisodesM23 na serikali ya DRC kufanya mazungumzo ya ana kwa ana
Published 1 year, 3 months ago
Description
Duru za pande hasimu nchini Kongo, zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana 9 Aprili 2025.