Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 4 Aprili 2025
Published 1 year, 3 months ago
Description
Kiongozi wa chama cha Greens Adam Bandt amerudia sera yake muhimu ya uchaguzi yaku wasilisha matibabu ya meno bure kwa mfumo wa Medicare, akisema wa Australia wanalipa hela nyingi sana kwa huduma muhimu ya afya.