Episode Details
Back to EpisodesSwahili Taarifa ya Habari 1 Aprili 2025
Published 1 year, 3 months ago
Description
Waziri wa Ajira na mahusiano ya kazini, Murray Watt, ame kosoa ahadi ya upinzani yaku futa baadhi ya mageuzi ya mahusiano ya viwanda ya Serikali ya Labor.