Episode Details
Back to EpisodesTaarifa ya Habari 28 Machi 2025
Published 1 year, 3 months ago
Description
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametangaza kuwa tarehe ya uchaguzi mkuu itakuwa 3 Mei 2025. Bw Albanese ali muarifu Gavana Mkuu Samantha Mostyn, nia yake yaku itisha uchaguzi mkuu mapena leo asubuhi.