Episode Details
Back to EpisodesBajeti ya 2025: Je, tume andaliwa nini?
Published 1 year, 3 months ago
Description
Bajeti ya shirikisho inatarajiwa kurejesha nakisi. Haswa uchaguzi mkuu unapo karibia, bajeti hiyo ime mulika nafasi ngumu kuendelea mbele kwa wanao ongoza nchi.